//
archives

Party Manifesto

This category contains 1 post

ILANI YA CHAMA CHA MWANANCHI(Manifesto]

ILANI YA CHAMA CHA MWANANCHI – CCM (Manifesto)  UHURU, HAKI, USAWA NA UAMINIFU.  UANACHAMA CCM ni chama cha wananchi walioonewa na kunyayaswa sio mabweyenye wanyoyaji. CCM ni chama cha wakenya wote, sio cha kabila au makabila fulani. CCM si shamba la wanyama, wanachama wake wote ni sawa. CCM ni ngome ya kondoo na wala nyasi … Continue reading